У нас вы можете посмотреть бесплатно ''UNATULETEA PEMBEJEO MWEZI wa 7 TUTAFUNE?'' - MNEC KASESELA AFUNGUKA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
''UNATULETEA PEMBEJEO MWEZI wa 7 TUTAFUNE?'' - MNEC KASESELA AFUNGUKA... @ASIA CHIPULI - MTWARA CC; BAKARI MAHUNDU Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (MNEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Kasesela, ameihimiza Serikali kuhakikisha pembejeo za kilimo zinawafikia wakulima kwa wakati ili zitumike kwa msimu husika. Kasesela ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 49 ya CCM uliofanyika wilayani Masasi, mkoani Mtwara,alisema kuwa upatikanaji wa pembejeo kwa wakati ni jambo la msingi litakalowawezesha wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao, hali itakayowaongezea kipato na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx