У нас вы можете посмотреть бесплатно Goma chini ya udhibiti wa M23, mwaka mmoja baadae | DW Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwaka mmoja umetimia tangu mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ulipoangukia mikononi mwa waasi wa M23. Tarehe 27 Januari 2025, mji ulidhibitiwa kikamilifu na waasi hao ambao ni washirika wa Rwanda baada ya mapigano kamili ya siku kadhaa. Kujua nini kimeendelea ndani ya mwaka huo mmoja tumewaalika wachambuzi wa siasa za DRC, kujadili kwa kina. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari