• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan скачать в хорошем качестве

Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan 2 дня назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Kwanini Mungu aliamua Kutufanya Watoto na Warithi?. (KANUNI YA URITHI YA KIRUMI) Mwl.Bryan

Katika video hii nimeeleza kuhusu Faida za urithi (uwezo wa kumiliki.) “ROMAN LAW OF ADOPTION” Wapendwa. Sheria ya kirumi ya INASEMA hivi kuwa ili kumrithi Mtoto na kumfanya mwana yaani Mrithi wako. Basi unatakiwa ulipe gharama Zote za Mtoto Yule, kama Kuna Deni unadaiwa Mtu Huyo analipia Zote. Na anakubaliana na Hali Yako yoyote. Na unamnunua kwa Bei hiyo. Kuasili kwa Warumi ulikuwa mchakato wa kisheria unaolenga kuhamisha patria potestas (nguvu za baba) ili kuhakikisha kuendelea kwa ukoo, mali, na ibada za mababu (sacra), hasa ndani ya tabaka la wasomi. Haikuwa kwa ajili ya ustawi wa watoto bali kwa ajili ya urithi, ikitengeneza utambulisho mpya wa kisheria ambapo aliyeasiliwa akawa mrithi wa kudumu, mara nyingi akifuta madeni ya zamani. Kulikuwa na aina mbili kuu za kupitishwa: Adoptio: Uhamisho wa mtu chini ya uwezo wa baba wa mkuu mmoja wa kaya (paterfamilias) hadi mwingine, kwa kawaida hufanyika mbele ya gavana. Adrogatio: Kupitishwa kwa mtu ambaye tayari alikuwa sui iuris (aliyejitegemea kisheria/mtu mzima), ambayo ilikuwa utaratibu wa umma uliohitaji idhini kutoka kwa mkutano (comitia curiata) au mfalme. Vipengele muhimu vya sheria ya Kirumi ya kuasili ni pamoja na: Kusudi: Kuhakikisha mrithi wa kiume kuendeleza jina la familia, mali, na ibada, ambayo mara nyingi hutumiwa na familia za wasomi au watawala kupata urithi. Hali ya Kisheria: Mtu aliyeasiliwa aliiacha familia yake ya zamani, akaingia katika familia mpya, na akapata haki sawa (pamoja na urithi) kama mtoto wa asili. Mahitaji: Mpokeaji kwa kawaida alipaswa kuwa mzee kuliko mtu aliyeasiliwa. Madhara: Mtoto aliyeasiliwa alipoteza haki katika familia yao ya zamani na kuchukua jina na sacra privata (tambiko za kibinafsi) za baba mpya. Ufunuo wa Yohana 5:9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa {Wimbo mpya … umeimba wimbo wa huo mda mrefu sana, wimbo wa uchumi, wimbo wa dhambi, wimbo wa afya wimbo wa kibali , wimbo wa nafasi. Sasa wimbo mpya unabadilika tu baada ya kuwa mwana wa Mungu.} Gharama ya Damu kwenye maisha .. Yesu amelipia maisha (life….Kuzaliwa kuishi kufa kuongezeka ni Yesu) yako yote, ibada zako , uchumi wako, Isaya 61:1-5, 7-8 1 Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao. 2 Kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao; 3 kuwaagizia hao waliao katika Sayuni, wapewe taji ya maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito; wapate kuitwa miti ya haki, iliyopandwa na Bwana, ili atukuzwe. 4 Nao watajenga mahali pa kale palipoharibiwa, watapainua mahali palipokuwa ukiwa zamani, watatengeneza miji iliyoharibiwa, mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi. 5 Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu. 7 Badala ya aibu yenu mtapata maradufu, na badala ya fedheha wataifurahia sehemu yao; basi katika nchi yao watamiliki maradufu; furaha yao itakuwa ya milele. 8 Maana mimi, Bwana, naipenda hukumu ya haki, nauchukia wivi na uovu; nami nitawalipa malipo katika kweli, nitaagana nao agano la milele. Wakati nafundisha maana ya kanisa Matendo ya Mitume 20:28 Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe Majina na maana zake.    • Maana ya Jina lako katika ulimwengu wa Roh...   Maagano na Laana.    • Je kuna Laana na Maagano ya Familia na uko...   Yesu ni Mungu.    • Jina la MUNGU ni YESU Yohana 17:11-12. Maa...   Jina la YESU.    • Mathayo 28:19 kwa jina la Baba, na Mwana, ...   Jinsi ya kumpendeza Mungu.    • Njia zako zikimpendeza Mungu tu unapata ba...   Utukufu wa jina.    • Mathayo 28:19 kwa jina la Baba, na Mwana, ...   #sonofgod #mwanawamungu #jesus #jesuschrist #yeshua #jesusisgod #ibadahonline #revelation #song #yesu #youtube #new #sacrifice #holybible #sevenchurchesofrevelation #gospelmusic #filadelfiachurch

Comments
  • Шквальный огонь по Кремлю / Запад говорит о победе Украины? 2 часа назад
    Шквальный огонь по Кремлю / Запад говорит о победе Украины?
    Опубликовано: 2 часа назад
  • Что скрывает армянский алфавит? Уникальные Секреты, о которых не говорят 2 дня назад
    Что скрывает армянский алфавит? Уникальные Секреты, о которых не говорят
    Опубликовано: 2 дня назад
  • SOMO LA UNYENYEKEVU na UTII ktk KUTIMIZA KUSUDI LA MUNGU KWAKO. Mwl.Bryan #ibadahonline 2 месяца назад
    SOMO LA UNYENYEKEVU na UTII ktk KUTIMIZA KUSUDI LA MUNGU KWAKO. Mwl.Bryan #ibadahonline
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Maana ya Jina lako katika ulimwengu wa Roho. Mwl.Bryan #identityinchrist #name 2 недели назад
    Maana ya Jina lako katika ulimwengu wa Roho. Mwl.Bryan #identityinchrist #name
    Опубликовано: 2 недели назад
  • @MAANDIKO HUSEMA _-_KUNENA KWA LUGHA_-_NA MWALIMU AYUBU SAMWEL. 5 дней назад
    @MAANDIKO HUSEMA _-_KUNENA KWA LUGHA_-_NA MWALIMU AYUBU SAMWEL.
    Опубликовано: 5 дней назад
  • Директор школы Лекки: 100 вероятных вопросов JAMB на 2026 год (с 1 по 50). 2 недели назад
    Директор школы Лекки: 100 вероятных вопросов JAMB на 2026 год (с 1 по 50).
    Опубликовано: 2 недели назад
  • КУДА ИСЧЕЗЛИ 50 МИЛЛИОНОВ ТОНН ПОРОДЫ? ЗАГАДКА КОТОРУЮ СКРЫВАЮТ 90 ЛЕТ 5 дней назад
    КУДА ИСЧЕЗЛИ 50 МИЛЛИОНОВ ТОНН ПОРОДЫ? ЗАГАДКА КОТОРУЮ СКРЫВАЮТ 90 ЛЕТ
    Опубликовано: 5 дней назад
  • Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo  kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan #jesus #love 3 недели назад
    Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan #jesus #love
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Je UMEWAHI KUSOMA BIBLIA YOTE ⁉️. KARIBU MWAKA 2026 TUISOME.  Mwl.Bryan #ibadahonline #biblia #2026 1 месяц назад
    Je UMEWAHI KUSOMA BIBLIA YOTE ⁉️. KARIBU MWAKA 2026 TUISOME. Mwl.Bryan #ibadahonline #biblia #2026
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • WHY: Kwanini YESU Alitenda miujiza, Ishara na Ajabu katika watu...? Mwl.Bryan #ibadahonline 2 месяца назад
    WHY: Kwanini YESU Alitenda miujiza, Ishara na Ajabu katika watu...? Mwl.Bryan #ibadahonline
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Տեր Շավարշ քահանա Սիմոնյան 6 дней назад
    Տեր Շավարշ քահանա Սիմոնյան
    Опубликовано: 6 дней назад
  • История королевства Бенин: от возникновения до Игодомигодо и империи Эдо 4 месяца назад
    История королевства Бенин: от возникновения до Игодомигодо и империи Эдо
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • К пятидесятникам и харазматам проникла опасная ересь! 5 дней назад
    К пятидесятникам и харазматам проникла опасная ересь!
    Опубликовано: 5 дней назад
  • MAAJABU (8) ambayo hutokea ukiwa Mtu wa kumkumbuku na kutafakari kilasiku. Mwl.Bryan #ibadahonline 1 месяц назад
    MAAJABU (8) ambayo hutokea ukiwa Mtu wa kumkumbuku na kutafakari kilasiku. Mwl.Bryan #ibadahonline
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • “Превосходство Христа” Урок 8 Субботняя школа с Алехандро Буйоном 6 дней назад
    “Превосходство Христа” Урок 8 Субботняя школа с Алехандро Буйоном
    Опубликовано: 6 дней назад
  • Yangi Yo'l - церковь вместо мусорки. Как вера меняет жизни в Узбекистане🇺🇿 6 дней назад
    Yangi Yo'l - церковь вместо мусорки. Как вера меняет жизни в Узбекистане🇺🇿
    Опубликовано: 6 дней назад
  • UTUKUFU WA JINA: MAJINA (4)YA  MUNGU ULIMWENGUNI na UTUKUFU WAKE UKO VIPI.? Mwl.Bryan #ibadahonline 2 месяца назад
    UTUKUFU WA JINA: MAJINA (4)YA MUNGU ULIMWENGUNI na UTUKUFU WAKE UKO VIPI.? Mwl.Bryan #ibadahonline
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Что если бы динозавры ВЫЖИЛИ? 66 миллионов лет без нас 5 дней назад
    Что если бы динозавры ВЫЖИЛИ? 66 миллионов лет без нас
    Опубликовано: 5 дней назад
  • Mathayo 28:19 kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Mwl.Bryan #ibadahonline #2026 1 месяц назад
    Mathayo 28:19 kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Mwl.Bryan #ibadahonline #2026
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Mambo 7 ya Kuharakisha Ukuaji Wako 10 дней назад
    Mambo 7 ya Kuharakisha Ukuaji Wako
    Опубликовано: 10 дней назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5