У нас вы можете посмотреть бесплатно TUMEPOKEA MAOMBI: MATUMIZI YA STARLINK TANZANIA: ”TUMEWASIKIA" - SERIKALI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea maombi kutoka kampuni ya Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti nchini, hata hivyo imesema bado iko katika hatua za mapitio na uchunguzi wa kina ili kuhakikisha usalama wa taarifa za Serikali na ulinzi wa taarifa binafsi za watumiaji. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angella Kairuki, amesema mchakato huo ni muhimu kabla ya kutoa kibali rasmi kwa kampuni hiyo. Aidha, amesisitiza kuwa vijana ni chachu ya maendeleo ya TEHAMA nchini na amewahimiza kutumia fursa zinazojitokeza katika ubunifu na teknolojia kwa maendeleo ya taifa. #Starlink#Mawasiliano#TeknolojiaYaHabari#UsalamaWaTaarifa#UlinziWaTaarifaBinafsi#TEHAMA#Serikali#MaendeleoTanzania