У нас вы можете посмотреть бесплатно Lissu Aibua Hoja Tatu Mpya, Mahakama Kutoa Uamuzi Mdogo Kwenye Mapingamizi yake Februari 11, 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kesi ya Uhaini Namba. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, imeendelea leo Jumatatu Februari 9, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo inayosikilizwa na jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru, ilikuja kwa ajili ya upande wa Jamhuri kujibu mapingamizi yaliyowasilishwa na mshtakiwa kuhusu matumizi ya shahidi wa siri (PW11) na kizimba cha siri kilichopo ndani ya chumba cha Mahakama. Baada ya kusikiliza hoja kutoka pande zote mbili, Mahakama imeahirisha kesi hiyo hadi Jumatano Februari 11, 2026, kwa ajili ya kutolewa uamuzi wa mapingamizi hayo na kuendelea na ratiba nyingine za shauri hilo. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.