У нас вы можете посмотреть бесплатно Heche Ataka Lissu Achiwe Bila Masharti, CHADEMA Yasisitiza Haitapiga Magoti или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ameitaka Serikali kumuachia bila masharti Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Jumatatu Februari 9, 2026, katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Heche amesema CHADEMA itaendelea kusimama imara na kupigania maslahi ya Taifa, ikisisitiza haitapiga magoti wala kuyumba katika msimamo wake. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.