У нас вы можете посмотреть бесплатно Bwege Atinga Kwenye Kesi ya Lissu ‘Tunaamini Kabisa Hii ni Kesi ya Kubambikiwa, Siyo ya Haki’ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanasiasa Selemani Bungara (Bwege) amefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kufuatilia mwenendo wa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Akizungumza nje ya Mahakama, Bwege amesema kuwa wanaamini kwa asilimia 100 kuwa kesi hiyo siyo kesi ya haki, bali ni kesi ya kubambikiwa, akisisitiza kuwa mwenendo wa shauri hilo unaacha maswali mengi kuhusu haki, uhuru wa Mahakama na matumizi ya shahidi wa siri. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.