У нас вы можете посмотреть бесплатно Saikolojia 5 za Kudhibiti Hisia za Watu (Bila Kulazimisha) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, umewahi kujiuliza kwa nini kila unapojaribu kuwashawishi watu kwa hoja, wanaishia kukupinga? Ukweli ni huu: watu hawaendeshwi na mantiki—wanaendeshwa na HISIA. Katika video hii, tunachambua Sheria namba 43 ya kitabu The 48 Laws of Power cha Robert Greene na kufichua Saikolojia 5 hatari zitakazokufundisha jinsi ya: ✅ Kudhibiti hisia za watu bila mabavu ✅ Kuwafanya watu wakutake, sio wakupinge ✅ Kuingia kwenye mioyo na akili za watu (Hearts & Minds) ✅ Kutumia validation, self-interest, na reciprocity kwa hekima ⚠️ Pointi ya 5 ndiyo Master Key — viongozi wakubwa wa dunia huitumia kuongoza umati bila kupingwa. #Saikolojia #FikraChanya #48LawsOfPower #RobertGreene #NguvuYaAkili #DarkPsychology #Ushawishi#PsychologySwahili #MaishaYaUshindi #SelfDevelopment #MindControl #PowerMoves #MentalStrength #SuccessMindset #LeadershipSkills Kama unapenda saikolojia, nguvu ya akili, fedha, na mbinu za kuishi maisha ya ushindi, subscribe Fikra Chanya na washa kengele 🔔 ✍️ Andika swali au maoni yako kwenye comments — content zetu zinatoka kwenye maswali yenu. Stay Powerful.