У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU HAWA 4 WANAKUUA KISAIKOLOJIA (Hasa Namba 4!) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, umewahi kuongea na mtu halafu baada ya mazungumzo unahisi umechoka, umejilaumu, au unahisi kama wewe ndiye tatizo? Hii siyo kawaida — na siyo kosa lako. Katika video hii, nakuonyesha aina 4 za watu hatari kisaikolojia ambao wanabomoa kujiamini kwako, kukuchanganya akili, na kukuua kimyakimya bila wewe kujua. Tutazungumzia kwa kina: Narcissist (Mwenye ubinafsi uliopitiliza) Gaslighter (Mvuruga akili) Emotional Vampire (Mnyonya nishati) Covert Frenemy (Adui wa kimyakimya – HATARI ZAIDI) Hawa watu huonekana kama marafiki, wapenzi, au hata ndugu — lakini kisaikolojia wanaharibu maisha yako. Utajifunza: ✔ Dalili za mapema ✔ Kwa nini wanakufanya ujihisi vibaya ✔ Jinsi ya kuweka mipaka (Boundaries) ✔ Mbinu ya Grey Rock ya kujilinda Kama video hii imekufungua macho, subscribe, share, na andika “PART 2” kama unataka video ya The Controller. 👉 Linda afya yako ya akili. Jipende kwanza #afyayakili #psychology #toxicpeople #toxicrelationships #gaslighting #narcissist #mentalhealthawareness #selfworth #boundaries #mahusiano #maishayaleo #healingjourney #kiswahiliyoutube