У нас вы можете посмотреть бесплатно BPRA USO KWA USO NA WAJASIRIAMALI ZANIZBAR или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali Zanzibar (BPRA) leo umefanya mafunzo kwa wajasiriamali wadogo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kusajili biashara zao ili iwe chachu ya kuwaletea maendeleo endelevu. Mafunzo hayo yamelenga kuwaelimisha wajasiriamali kuhusu umuhimu wa kusajili biashara zao kisheria, faida za kuwa na nyaraka halali za biashara pamoja na fursa zinazopatikana baada ya usajili ikiwemo kupata mikopo, zabuni na kushiriki kikamilifu katika uchumi rasmi. Aidha, washiriki wamepata maelekezo ya kina kuhusu taratibu za usajili, matumizi ya mifumo ya kidijitali pamoja na haki na wajibu wao kama wafanyabiashara waliosajiliwa. BPRA imeeleza kuwa itaendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ili kuhakikisha sekta ya ujasiriamali inakua na kuchangia ipasavyo katika maendeleo ya uchumi wa Zanzibar. #BPRA #Wajasiriamali #UsajiliWaBiashara #MaendeleoEndelevu #Zanzibar