У нас вы можете посмотреть бесплатно CHEKECHE | Kabila kuondolewa kinga ya kushtakiwa ni salama kwa DRC? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila sasa anaweza kushtakiwa mahakamani baada ya Bunge la Seneti la nchi hiyo kumuondolea kinga ya Seneta wa maisha. Kabila aliyeiongoza DRC kuanzia mwaka 2001 hadi 2019, ameondolewa kinga hiyo baada ya hoja kuungwa mkono kwa kura 88 huku tano tu zikipinga, wakati tatu zikiharibika. Hatua hii ni baada ya rais Felix Tshisekedi kumtuhumu kwa uhalifu wa kivita na uhaini, akihusishwa kuliunga mkono kundi la waasi wa M23 ambao wamekuwa kikwazo mashariki mwa DRC. Je kuondolewa kinga hiyo kwa Kabila ni uamuzi salama kwa DRC inayotafuta amani ya kudumu mashariki mwa DRC? Karibu katika Chekeche. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi