У нас вы можете посмотреть бесплатно CHEKECHE | Baada ya mkataba wa Washington, tutarajie nini Mashariki mwa DRC? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu katika muendelezo wa mjadala wa yanayolikumba eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya nchi hiyo, Rwanda na Marekani kusaini mkataba wa amani jijini Washington DC. Kipindi kilichopita tuliangalia mkataba wenyewe na matarajio yake hata hivyo ndani ya kipindi kifupi yameshuhudiwa mapigano ya silaha za kivita yakihusisha makundi hasimu, huku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likielezwa kuwa mashambulizi mapya ya waasi DRC yamefufua hofu ya kusambaratika kwa nchi. Hii maana yake ni nini? Karibu katika mjadala huu ukiwa na Raymond Nyamwihula. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi