У нас вы можете посмотреть бесплатно KAYA 20 ZAZINGIRWA NA MAJI MIRERANI, DC LULANDALA ATOA MAAGIZO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Na Afarah Suleiman Simanjiro Manyara Kufuatia Kaya zaidi ya 20 katika Vitongoji vinne vya Mji mdogo wa Mererani kuzingirwa na Maji, Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Fakhii Lulandala amewataka Wananchi wa maeno hayo, kuondoka mara moja. Agizo la DC Lulandala linakuja kufuatia hali hiyo iliyosababishwa na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kuathiri maeneo hayo, hasa katika Kata za Shambalai, Endiamtu, Mirerani na Naisinyai. Amesema, Wananchi wote wanaoishi pembezoni mwa Bonde la Mto Pangani, wanatakiwa kuondoka ili kunusuru maisha yao, huku akiwagiza Wenyeviti wa maeneo husika kuwatafutia maeneo ya kuwahifadhi Wananchi pamoja na mali zao.