У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT.MWIGULU ATAKA MKANDARASI ACHUKULIWE HATUA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba amesisitiza uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma katika kusikiliza na kutatua changamoto na kero za Wananchi kwa wakati ili Wananchi waendelea na shughuli zao za Uchumi. Agizo hilo amelitoa Wilayani Babati ,Mkoani Manayara,akiwa kwenye Ziara yake ya kawaida ya kusikiliza kero za wananchi pamoja na kukagua niradi mbalimbali ya maendeleo, amewataka Wakurugenzi wote wa Halmashauri za Mkoa huo kuhakikisha Shule zote zinakuwa na matundu ya kutosha ya vyoo vya Wanafunzi mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Mwaka mpya wa Fedha ili kupunguza adha upungufu wa vyoo katika Shule. Aidha Dkt Mwigulu amewataka Wananchi wilayani Babati kufuata Sheria,kanuni na taratibu za ununuzi na umiliki wa Ardhi katika ili kupunguza migogoro ya Ardhi. Katika hatua nyingine Dkt Mwigulu amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Babati kumchukulia hatua mkandarasi wa Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTICS) kutokana kucheleweshwa kwa mradio wa stendi ya mabasi ya mkoa wa Manyara kuwa bado asilimia 10, ya ujenzi huo kulingana na muda wa mkataba, Utekelezaji wa Mradi ambao unajumuisha Ujenzi wa Stendi ya kisasa,ujenzi wa mitaro ya maji km 8.15 pamoja na Ujenzi wa lami nzito km 4.89 ambapo unagharimu takribani Bilioni 19.9.