У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI ITAENDELEA KUPUNGUZA KODI KWENYE TAASISI ZINAZOJIENDESHA....DKT.MWIGULU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Lameck Nchemba,amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi zaTaasisi na mashirika yasiyokuwa ya serikali kwa kupunguza kodi katika taasisi hizo. Dkt.Mwingulu ameyasema hayo akiwa Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, baada ya kukagua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya Kilutheri ya Hydom inayomilikiwa na kanisa hilo. Nae mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen sendiga akimkaribisha mhe.waziri mkuu dkt.Mwigulu Lameck Nchemba amesema uongozi wa Hospitali hiyo umekuwa ukishirikiana na Serikali ya mkoa kwa karibu na kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi. Awali akisoma taarifa ya Hospitali hiyo dkt.Pascal Mdoe amesema kuwa Hospitali hiyo inatoa huduma za kibingwa ,na ni kitovu cha mafunzo na utafiti ambapo kwa mwaka ina bajeti ya shilingi bilion 17 ,ambapo serikali inachangia asilimia 17 ya bajeti hiyo. MWISHO