У нас вы можете посмотреть бесплатно Viwanja Bei Rahisi Ilemela Mwanza | RC Mwanza awata Wananchi Kuchangamkia Fursa | Kando ya Ziwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa mkoa wa mwanza Mheshimiwa muhandisi Robert Gabriel amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa mradi wa kupima na kumilikisha viwanja 3,500 katika mitaa 5 ya kata ya sangabuye na mitaa 2 ya kata ya bugogwa na shibula manispaa ya Ilemela mkoa wa mwanza Mkuu wa mkoa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za kwa ajili ya zoezi pia amewataka wananchi kuwahi kuchukua maeneo hayo kwani watu ni wengi wanaotamani maeneo hayo hususani maeneo ya karibu na ziwa aidha Shukrani Kyando afisa ardhi na mipango miji manispaa ya ilemela amebainisha maeneo yaliyo tayari kuuzwa na kuwataka wanachi kuunga mkono zoezi hilo kwa kuwahi maeneo hayo #Mwanza #ilemela #ardhi