У нас вы можете посмотреть бесплатно HAKUNA MAENDELEO BILA KUHESHIMU HAKI NA UTAWALA WA SHERIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema maendeleo ya kweli ya taifa hayawezi kupatikana bila kuheshimu na kulinda haki za binadamu. Akizungumza Februari 2, 2026 jijini Dodoma kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini, alisisitiza kuwa Mahakama ina wajibu wa kuhakikisha utawala wa sheria, uadilifu na uwazi ili wananchi wawe na imani na mfumo wa haki. Amesema kaulimbiu ya mwaka huu inaonyesha kuwa hakuna ustawi wa kiuchumi unaoweza kudumu bila kulinda haki na sheria, na akahimiza Mahakama kutoa maamuzi kwa wakati ili kupunguza gharama na kuchelewesha haki kwa wananchi.