У нас вы можете посмотреть бесплатно KIMEWARAMBA! WASHUKIWA WA WIZI KWENYE DALADALA MWANZA WANASWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu 19 wakiwepo madereva na makondakta wa dalala jijini Mwanza wametiwa mbaroni na jeshi polisi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uwizi dhidi ya abiria wanaotumia usafiri huo kwenye maeneo mbalimbali ya jiji hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini humo Kamanda wa Polisi DCP Wilbroad Mutafungwa amesema watuhumiwa wamekamatwa kufuatia operesheni maalumu iliyofanywa baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kukithiri kwa vitendo vya uwizi huo uliopewa majina ya Laki si pesa na Manowali na kuwaachia makovu ya hasara wakazi wa jiji hilo. Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE Youtube Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram