У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kutumia Excel Kufuatilia Uwekezaji Wako Hatua kwa Hatua или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jinsi ya Kutumia Excel Kufuatilia Uwekezaji Wako Hatua kwa Hatua Katika video hii, nitakuonyesha kwa vitendo jinsi ya kutumia Microsoft Excel kufuatilia uwekezaji wako kwa usahihi na weledi. Utajifunza: Jinsi ya kurekodi ununuzi wa hisa zako Jinsi ya kufuatilia faida na hasara Jinsi ya kuhesabu return ya uwekezaji Jinsi ya kupanga portfolio yako vizuri Mfano halisi wa matumizi kwa soko la Tanzania (DSE) Video hii ni muhimu kwa: • Wawekezaji wanaoanza • Wanaotaka kuwa na nidhamu ya kifedha • Wanaotaka kuelewa vizuri mwenendo wa pesa zao Kama unataka kuwa mwekezaji makini na wa muda mrefu, video hii ni kwa ajili yako.