У нас вы можете посмотреть бесплатно Wanaojenga mradi wa maji wa bilioni 1.9 Handeni walia ‘mauzauza’ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mradi wa kuchimba bwawa la maji Kwenkambala wilayani Handeni mkoani Tanga unao gharimu Sh1.99 bilioni umekwama kuendelea kwa madai kuwa ni kutokana na imani za kishirikina kwenye eneo hilo kwa vifaa kuharibika mara kwa mara. Hayo yamebainishwa na msimamizi wa mradi huo kutoka kampuni ya Civil Loths Construction LTD, Kulwa Juma katika ziara ya kamati ya siasa Mkoa wa Tanga ya kukagua miradi ya maendeleo wilayani Handeni, akisema changamoto waliyonayo ni vifaa kuharibika mara kwa mara. Juma ametaja changamoto nyingine kuwa ni watumishi wa kampuni hiyo kuripoti kuwa kuna mambo ya ajabu yanaoneka kwenye mradi. Amesema wapo madereva wanadai kuona vitu vya ajabu ikiwamo nyoka mkubwa anayefuata nyumba greda wakati wakifanya kazi.