У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZAWA KUNUFAIKA NA AJIRA ZA BOMBA LA MAFUTA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mradi wa bomba la mafuta ghafi unatarajia kukamilika ifikapo July mwaka huu utakuwa umekamilika na kuanza kusafirisha mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanzania Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo la mradi chongoleani Naibu Waziri wa Nishati Nchini Tanzania Salome Makamba ameagiza kuendelea kuendelea kutoa ajira kwa wazawa na kuhakikisha mradi huu unamalizika kwa wakati. Kwa upande wake Naibu Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini Uganda Ruth Nankabirwa akapongeza uongozi kwa ushirikishwaji wa wananchi katika ujenzi na usimamizi wa usalama uliopo katika mradi.