У нас вы можете посмотреть бесплатно Namna Ya Kufungua Booking.com Account Iliyofungiwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu wengi wanajichanganya wakiwa wanatumia Booking.com, kudhani inafanya kazi kama airbnb kwenye ulipaji wa commission. Ukweli ni kwamba hazipo sawa. Katika video hii, utajifunza tofauti muhimu kati ya Airbnb na Booking.com kwenye ulipaji wa commission, na kwa nini kutokujua tofauti hii kunaweza kukugharimu faida yako kwenye biashara yako ya ukodishaji wa nyumba kwa muda mfupi, na hata kukusababishia kufungiwa account. Kama unatumia Airbnb, Booking.com, au unapanga kuanza biashara ya short-term rentals, video hii itakupa uelewa sahihi ili ulinde faida yako na uepuke makosa ya commission. 🎓 JIUNGE NA DARASA LA AIRBNB KITAJIRI (50,000/=) (Tengeneza 800,000 hadi Milioni 5 kwa Mwezi — ukiwa na mtaji mdogo au bila mtaji kabisa.) BOFYA HAPA KUJIUNGA 👉🏾👉🏾 https://wa.me/255740004389 📌 Tazama pia video zetu zingine: 👉 • Njia Mpya ya Wawekezaji Kutengeneza Pesa y... 👉 • Jinsi Nilivyoanza Biashara Hii Kwa Kugeuza... 👉 • Ifahamu Biashara ya AirBnB Ndani Ya Dakika 9 Jifunze Kuhusu Airbnb Bure Hapa: • AirBnB Kitajiri: Namna ya kutengeneza 800,... 🔔 Subscribe kwenye channel hii ili usipitwe na mafunzo mengine 🔗 Tufuate pia kwenye mitandao ya kijamii: / airbnbkitajiri https://www.tiktok.com/airbnbkitajiri/ Mawasiliano ya Kiofisi: Namba: 0740004389 Barua pepe: uzakitajiri@gmail.com #airbnbkitajiri #airbnbtanzania #biasharayaairbnb #bookingcom