У нас вы можете посмотреть бесплатно Namna ya Kudesign Airbnb Yako Ili Wateja Wafurahi na Warudi Tena (Mambo 12) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hivi ndivyo Namna ya kupendezesha airbnb yako, ivutie wateja, na isifiwe na kupata reviews nzuri kutoka kwa wateja wako, bila kutumia gharama kubwa sana kwenye interior design. Kwenye video hii, tunapitia mambo 12 muhimu ya kuzingatia kwenye interior design ya Airbnb yako, hatua kwa hatua. Video hii imeandaliwa kwa wale wanaoanza Airbnb, wanaotaka kufanya interior design wao wenyewe kwa bajeti ya kawaida, au wale wanaohitaji uelewa na mwelekeo sahihi kabla ya kuanza kuwekeza kwenye airbnb. ☎️KUFANYA BOOKING YA HII APARTMENT: BOFYA HAPA 👉🏾👉🏾 https://wa.me/255746381961 Tazama video ya apartment hii hapa: • Mikocheni Semi-Luxury Airbnb (3 bedroom, S... 🎓 JIUNGE NA DARASA LA AIRBNB KITAJIRI (50,000/=) (Tengeneza 800,000 hadi Milioni 5 kwa Mwezi — ukiwa na mtaji mdogo au bila mtaji kabisa.) BOFYA HAPA KUJIUNGA 👉🏾👉🏾 https://wa.me/255740004389 ⏱️ VITUO (Timestamps) | Interior Design ya Airbnb (Mambo 12 Muhimu) 0:00 – Utangulizi: Kwa nini Interior Design ni Muhimu kwenye Airbnb 1:10 – #1 Samani & Mpangilio Sahihi wa Airbnb (Furniture layout inayovutia wateja) 3:10 – #2 Mchanganyiko wa Rangi (Colour & Mood ya Airbnb) 5:20 – #3 Mwanga na Taa za Airbnb (Lighting inayoongeza muonekano) 8:07 – #4 Vitambaa & Aina ya Material (Curtains, sofa, bedding) 10:50 – #5 Picha, Mapambo & Wall Decor ya Airbnb 13:17 – #6 Muonekano wa Jiko la Airbnb (Kitchen design inayovutia wateja) 14:16 – #7 Chumba cha Kulala cha Airbnb (Bedroom setup for comfort & reviews) 16:04 – #8 Bafu la Airbnb (Bathroom design safi & ya kisasa) 18:11 – #9 Maua & Plants kwenye Airbnb (Natural touch inayopendezesha) 20:34 – #10 Personal Touches kwenye airbnb (Vitu vya ziada) 22:25 – #11 Teknolojia kwenye Airbnb (Wi-Fi, Smart TV, vifaa muhimu) 27:15 – #12 Uwiano & Consistency ya Interior Design 29:45 – Namna ya Kufanya Booking – TajiriBnB 30:23 – Airbnb Kitajiri Apartment Tour 30:56 – Darasa la Airbnb Kitajiri 31:37 – Hitimisho & Ushauri kwa Wanaoanza Airbnb 📌 Tazama pia video zetu zingine: 👉 • Njia Mpya ya Wawekezaji Kutengeneza Pesa y... 👉 • Jinsi Nilivyoanza Biashara Hii Kwa Kugeuza... 👉 • Ifahamu Biashara ya AirBnB Ndani Ya Dakika 9 Jifunze Kuhusu Airbnb Bure Hapa: • AirBnB Kitajiri: Namna ya kutengeneza 800,... 🔔 Subscribe kwenye channel hii ili usipitwe na mafunzo mengine 🔗 Tufuate pia kwenye mitandao ya kijamii: / airbnbkitajiri https://www.tiktok.com/airbnbkitajiri/ Mawasiliano ya Kiofisi: Namba: 0740004389 Barua pepe: uzakitajiri@gmail.com #airbnbkitajiri #airbnbtanzania #biasharayaairbnb #uwekezaji #tanzania #biashara #kutengenezahela #ujasiriamali 📌 Usisahau ku-like, ku-comment, na ku-subscribe kwa mafunzo zaidi ya Airbnb na biashara ya short-term rentals. #AirbnbTanzania #InteriorDesignAirbnb #AirbnbKwaBajetiNdogo #AirbnbKwaWanaoanza #AirbnbKitajiri #InteriorDesignYaAirbnb #KupambaNyumba #InteriorDesignTanzania #DIYInteriorDesign #BudgetInteriorDesign #HomeDecorTZ