У нас вы можете посмотреть бесплатно WANDU CHACHA MATIKO NA SAFARI YAKE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wandu Chacha Matiko, mwenye umri wa miaka 27, alianza safari yake tarehe 30 Januari 2026 kutoka Machochwe wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, akielekea Dar es Salaam akiahidi kutumia siku tano kufika. Alifanikiwa kufika Dar es Salaam tarehe 3 Februari 2026 majira ya saa nne asubuhi. Leo, tarehe 13 Februari 2026, akiwa njiani kurudi Serengeti, Wandu amefika wilaya ya Bunda. Akiwa katika viunga vya Bunda mjini, amefika Radio Mazingira ambapo alifanya mahojiano kuhusu safari yake. Je, matamanio yake yametimia? Je, alikutana na vikwazo gani njiani? Je, watu walimpokeaje? Je, ujumbe wake aliufisha? Itakumbukwa kuwa siku aliyaanza safari, Wandu alisisitiza kuwa ana ujumbe maalum na akiahidi kuufikisha kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.