У нас вы можете посмотреть бесплатно E HABARI/CRDB KUIMARISHA UBUNIFU KUSAIDIA TAIFA KUFIKIA UCHUMI WA DOLA TRILIONI 1/FEB3 2026 BIASHARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BENKI ya CRDB imesema itaendelea kutumia teknolojia kubuni bidhaa za kifedha zinazolingana na Dira ya Maendeleo ya 2050, ikiwa ni mkakati wa kuimarisha ujumuishaji wa kifedha, kuongeza upatikanaji wa mitaji kwa wadau wa kiuchumi na kuimarisha ushindani wa Tanzania katika uchumi wa kidijitali wa kikanda na kimataifa. Akizindua kampeni ya mwaka 2026 ya CRDB "Panga Mkakati Wako" jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Abdulmajid Nsekela, amesema benki imejipanga kutumia ubunifu wa kiteknolojia kuunda suluhu za kifedha zitakazosaidia Serikali kufikia lengo la kuwa na pato la taifa la dola za Marekani trilioni 1.