У нас вы можете посмотреть бесплатно MOI | Maelezo ya mgonjwa yanayokinzana yatajwa kama chanzo cha utofauti wa majibu ya vipimo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, amesema sababu moja ya tofauti ya majibu ya vipimo ni namna mgonjwa anavyoeleza dalili zake kwa daktari, kwani asilimia kubwa ya madaktari hutoatibia kulingana na maelezo hayo peke yake. Dkt. Mpoki pia ameleza kuwa baadhi ya wananchi wanaosafirishwa kwenda matibabu nje ya nchi wamekuwa wakilalamika kuhusu tofauti ya matibabu na majibu ya vipimo wanayopata kulingana na yale waliyopata katika hospitali za ndani. Amehakikishia kuwa MOI inafanya juhudi za kuhakikisha matibabu na vipimo vinafanana na viwango vya kimataifa, huku ikizingatia hali na maelezo ya kila mgonjwa.