У нас вы можете посмотреть бесплатно Wabunge wa ODM wakubaliana kuandaa mazungumzo wa ushirikiano na vyama vya kisiasa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wabunge wa chama cha ODM chini ya uwenyekiti wa Seneta Oburu Oginga wameafikiana kuunga mkono jitihada za kiongozi wao kuanza mazungumzo na vyama vya kisiasa kabla na baada ya uchaguzi mkuu ujao. Wabunge pamoja na Maseneta hao wamesema mazungumzo hayo yataanza na chama cha UDA kwa lengo la kuwa katika uongozini kwenye serikali ijayo. Katika taarifa iliyosomwa na kiongozi wa wengi bungeni Junet Mohammed, chama hicho kimekubaliana kuandaa mkutano wa wajumbe tarehe 27 mwezi huu wa machi.