У нас вы можете посмотреть бесплатно KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOZI ZANZIBAR KIMEFANIKIWA KUOKOA MALI ZA TSH BILLION MOJA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MOTO MOMBASA TAREHE 03/ 07/ 2024 Moto mkubwa umeteketeza ghala moja la kuhifadhia vifaa mbalimbali na kupelekea hasara ya kuungua baadhi ya vitu, ambavyo thamani yake inakisiwa zaidi ya shilingi za kitanzania million mia moja . Tukio hilo limetokea majira ya saa tisa na robo jioni maeneo ya Mombasa kwenye Ghala la kamupuni ya Hassan Group of Campanies, ambayo inamilikiwa Ibrahima Hassan Radha, ambapo moto huo umepelekea kuunguza vifaa vya michezo ,mipira ya gari pamoja speya za vyombo vya moto. Kikosi cha Zimamoto na Uokozi kimefika eneo la tukio mara baada ya kupata taarifa na kufanikiwa kuuzima moto huo kwa mashirikiano ya kituo cha zimamoto mjini na zimamoto mwanakwerekwe pamoja na wafanyakazi wa kamupuni hiyo. Akithibitisha juu tukio hilo Msaidi Mkuu wa Kituo cha zimamoto na Uokozi Mjini ASF Khalfani Suleiman Pandu amesema wamepokea taarifa na kufika eneo la tukio na kufanikiwa kuuzima moto huo ili usilete athari zaidi na kueleza chanzo cha moto ni uchomwaji wa taka karibu na ghala hilo pamoja na hayo amewaasa wananchi mara tu wanapoona majanga kupiga simu zimamoto 114 kwa kuweza kufika haraka kwenye tukio ili kuepusha janga lisilete athari zaidi. UP SOUND………………. Mmiliki wa Ghala hilo Ibrahim Hassan Radha amekishukuru Kikosi cha zimamoto na Uokozi kwa kufika kwa wakati na kufanikiwa kuuzima moto huo pamoja na kuviokoa vitu mbalimbali vilivyomo kwenye ghala hilo . UP SOUND………………… Kikosi cha zimamoto na uokozi kifanikiwa kuokoa mali mbalimbali katika ghala hilo ambazo thamani yake zaidi ya shilingi za kitanzania billion moja .