У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA MABEHEWA MAPYA ya SGR YAKISHUSHWA BANDARINI Yakitokea KOREA KUSINI... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TAZAMA MABEHEWA MAPYA ya SGR YAKISHUSHWA BANDARINI Yakitokea KOREA KUSINI... Mabehewa yatakayotumika kwenye reli ya kisasa (SGR) yameanza kuwasili nchini kutoka Korea Kusini ambapo tayari mabehewa 14 yamepokelewa. Oktoba 2022 akiwa nchini Korea Kusini, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitembelea kiwanda cha Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock inayotengeneza mabehewa ya reli ya kisasa (SGR). Waziri Mkuu akiwa nchini humo alisema “Kati ya mabehewa 81 ambayo Tanzania inatengeneza kutoka kwenu, tayari 36 yamekamilika na yameshapelekwa nchini Tanzania na 45 yaliyobaki yanategemewa kukamilika Machi, 2023. Mabehewa haya ni ya daraja la tatu na yatatoa huduma zote muhimu.” ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline