У нас вы можете посмотреть бесплатно Yu Hai || Dodoma Adventist Chorus или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Luka 24:4-8 [4]Ikawa walipokuwa wakifadhaika kwa ajili ya neno hilo, tazama, watu wawili walisimama karibu nao, wamevaa nguo za kumeta-meta; [5]nao walipoingiwa na hofu na kuinama kifudifudi hata nchi, hao waliwaambia, Kwa nini mnamtafuta aliye hai katika wafu? [6]Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa akaliko Galilaya, [7]akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kutiwa mikononi mwa wenye dhambi, na kusulibiwa, na kufufuka siku ya tatu. [8]Wakayakumbuka maneno yake. Katika maisha ya mwanadamu kuna nyakati ambazo anakutana na changamoto nyingi sana zenye kukatisha tamaa kama kupata misiba kupoteza vitu vya thamani kiasi kwamba anaweza kuona hakuna tumaini lolote lililo mbele. Lakini katika yote tunaweza kuwa na hakika ya kuwa kama Kristo alifufuka asubuhi ile hata sisi tuna tumaini kuwa yote yatapita na furaha itarejea tena maishani mwetu maana Kristo yu hai na yuko nasi. Barikiwa na wimbo huu ulioimbwa na Dodoma Adventist Chorus (DAC) utakutia nguvu kukumbuka kuwa Kristo yu hai. Don't forget to SUBSCRIBE Artist: Dodoma Adventist Chorus Song Title: Yu hai Instrumentation: @mjmusicclassics Audio Mixing and mastering: BJ Brand Email: dodomaadventistchorus21@gmail.com CONTACTS +255 712 227 383 +255 784 291 945 You can also find us on: Audiomack https://audiomack.com/dodomaadventist... Instagram / dodomaadventistchorus