У нас вы можете посмотреть бесплатно KUTOKA ZIWA MANYARA KINAMAMA WAJITOSA ZIWANI KUTAFUTA WATU WANAODAIWA KUZAMISHWA MAJINI NA TANAPA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KUTOKA ZIWA MANYARA KINAMAMA WAJITOSA ZIWANI KUTAFUTA WATU WANAODAIWA KUZAMISHWA MAJINI NA TANAPA Hapa nikatika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manayara Iliyopo Moduli Mkoani Arusha Baada ya kutokea kwa taarifa zilizoripotiwa na vyombo vya Habari na Kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Kutokea kwa vurugu za mipaka kati ya wananchi wa Kijiji cha Jangwani Mto wa mbu na Askari wa Uhifadhi wa Tanpa Wavuvi wakidai wanapivua ni sehemu ya kijiji na Askari wa Tanapa walidai Ni eneo la Hifadhi Vurugu hizo zilizopelekea baadhi ya wavuvi kujeruhiwa wa risasi Kabla ya polisi kufika huku ikidaiwa kuwa vurugu hizo zilipelekea ghasia ambazo polisi walipofika kutuliza ghasia hizo pia walitumia risasi zilizopeleka majeraha na Vifo vya Raia .. Hapa ni ziwani kina mama wanaofanya Biashara chakula pembezoni mwa ziwa manayara nao wameingia ziwani kushiriki kuwatafuta watu wawili ambao ni wavuvi wanaodaiwa kuzamishwa majini wakati wa ghasia hizo ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx