У нас вы можете посмотреть бесплатно 2. Anza kwa Ku-Download na Ku-Install MySQL (Windows & Linux) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye Sehemu ya 2 ya Kozi ya MySQL kwa Kiswahili! Katika somo hili la vitendo, utajifunza jinsi ya kupakua, kuinstall, na kujiandaa kutumia MySQL kwenye Windows na Linux (Ubuntu/Debian). Hii ni hatua muhimu sana kabla hujaanza kuandika queries zako za SQL. Video ya Hatua kwa Hatua Namna ya Ku Download na Ku Install MySQL: • Download and Install MySQL Server Step by ... 🔧 Mambo Utakayojifunza Katika Video Hii: ✅ Jinsi ya kupakua toleo la karibuni la MySQL ✅ Hatua kwa hatua jinsi ya kuinstall MySQL kwenye Windows ✅ Jinsi ya kuInstall MySQL kwenye Linux (Ubuntu/Debian) ✅ Tofauti kati ya MySQL Shell na MySQL Workbench ✅ Jinsi ya kuhakikisha kuwa MySQL imekuwa installed vizuri na iko tayari kutumika Video hii ni ya vitendo kabisa (practical) — unaweza kufuata hatua kwa hatua huku uki-install kwenye kompyuta yako. Baada ya somo hili, utakuwa tayari kuanza kuandika SQL queries zako katika somo linalofuata! 🛠️ Unachohitaji: ✅Kompyuta yenye Windows au Linux ✅Internet kwa ajili ya kupakua MySQL Installer 💡 TIPS: ➡️Hakikisha unakumbuka root password yako ➡️Kama kuna tatizo kwenye installation, unaweza ku-uninstall na kuanza tena ➡️Tumia Workbench kwa kubuni database na Shell kwa kuandika queries haraka ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐ 🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥 Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia 🔹 Afya 🔹 Mazingira 🔹 Sayansi 🔹 Motisha …na mengine mengi ya kuvutia! 🎉 📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪. 🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟 👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara 👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya 🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi: 📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg... 📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz 📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz 🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz 📺 YouTube: / @mohamedhafidh255 Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏