ะฃ ะฝะฐั ะฒั ะผะพะถะตัะต ะฟะพัะผะพััะตัั ะฑะตัะฟะปะฐัะฝะพ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ 2022 /๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ 2022 ะธะปะธ ัะบะฐัะฐัั ะฒ ะผะฐะบัะธะผะฐะปัะฝะพะผ ะดะพัััะฟะฝะพะผ ะบะฐัะตััะฒะต, ะฒะธะดะตะพ ะบะพัะพัะพะต ะฑัะปะพ ะทะฐะณััะถะตะฝะพ ะฝะฐ ัััะฑ. ะะปั ะทะฐะณััะทะบะธ ะฒัะฑะตัะธัะต ะฒะฐัะธะฐะฝั ะธะท ัะพัะผั ะฝะธะถะต:
ะัะปะธ ะบะฝะพะฟะบะธ ัะบะฐัะธะฒะฐะฝะธั ะฝะต
ะทะฐะณััะทะธะปะธัั
ะะะะะะขะ ะะะะกะฌ ะธะปะธ ะพะฑะฝะพะฒะธัะต ัััะฐะฝะธัั
ะัะปะธ ะฒะพะทะฝะธะบะฐัั ะฟัะพะฑะปะตะผั ัะพ ัะบะฐัะธะฒะฐะฝะธะตะผ ะฒะธะดะตะพ, ะฟะพะถะฐะปัะนััะฐ ะฝะฐะฟะธัะธัะต ะฒ ะฟะพะดะดะตัะถะบั ะฟะพ ะฐะดัะตัั ะฒะฝะธะทั
ัััะฐะฝะธัั.
ะกะฟะฐัะธะฑะพ ะทะฐ ะธัะฟะพะปัะทะพะฒะฐะฝะธะต ัะตัะฒะธัะฐ ClipSaver.ru
Takwimu zinaonesha kwamba asilimia 98% ya Wananchi wa Wilaya ya Gairo wanaojishughulisha na Kilimo na Mifugo. Pia Sekta mbili zimekuwa na Mchango Mkubwa katika mapato ya Halmashauri pamoja na ukuzaji wa Uchumi wa Wilaya. Hivyo, jitihada za Kuondoa umasikini na kuongeza ukusanyaji wa Mapato haziwezi kuzaa matunda kama Serikali ya Wilaya haijaweza Mkazo kati Sekta ya Kilimo na Mifugo. Changamoto kubwa inayokabili Sekta hizi ni tija ndogo kutokana na ukosefu wa maarifa kwa wakulima na wafugaji katika kufanya Kilimo chenye tija na ufugaji wenye tija. Katika kukabiliana na Changamoto hiyo, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji Mkubwa katika Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ili kuondoa umasikini na kukuza Pato la Taifa. Hivyo, Wilaya ya Gairo inatekeleza kwa vitendo ajenda hiyo kwa kuhakikisha kwamba mkulima anakutanishwa na wadau wake wanaohusika kumhudumia katika mnyororo wote wa thamani, kuanzia upatikanaji wa mbegu bora, upimaji wa Afya ya Udongo, mbolea, zana za Kilimo, wadau wa usindikaji na uongezaji wa thamani, taasisi za fedha, wadau wa Mazingira, taasisi za Utafiti na wadau wengine. Utekelezaji wake hufanyika kupitia program ya Maonesho ya Wiki ya Mkulima ambayo yalianza kufanyika Mwaka 2022. Maonesho haya ni endelevu na yatafanyika kila mwaka. Video hii ni mkusanyiko wa matukio mbalimbali katika maonesho hayo. Mwaka huu yanatarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba Mwaka 2023.