У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU WATATU WA FAMILIA MOJA WAUAWA NA KUCHOMWA MOTO DODOMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu watatu wa Familia moja Wakazi wa Mtaa wa Segu Juu Jijini Dodoma wamefariki dunia kwa kile kinachodaiwa kupigwa na kuchomwa moto na Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo September 17,2024 huku Mama wa Familia hiyo akijeruhiwa vibaya na Mtoto mmoja wa Familia akinusurika. Waliofariki ni Watoto wawili na Mdada wa kazi za ndani huku Mama wa Watoto akiwa amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake na kupelekwa Hospitali kwa matibabu ambapo Baba wa Famili hiyo ambaye ni Mwalimu Mkoani Singida amefika Dodoma na kuonekana akiwa analia kwa uchungu katika eneo la tukio akihoji kilichoipata Familia yake. Mwenyekiti wa Mtaa huo amedai baada ya Mtoto aliyenusurika katika tukio hilo kufungua mlango walikuta damu zimetapakaa kwenye nguo za marehemu hao ambao wamepigwa na kuchomwa moto huku Mama yao ambaye alikuwa chumba cha pili akikutwa na majeraha.