У нас вы можете посмотреть бесплатно ACT WAZALENDO YAPINGA UTEKETEZWAJI WA NYARAKA ZA UCHAGUZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar kimeitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kusitisha zoezi la uteketezaji wa nyaraka za uchaguzi, kikieleza kuwa nyaraka hizo ni ushahidi muhimu unaoweza kuhitajika mahakamani. Kauli hiyo imetolewa na Makamo Mwenyekiti wa chama hicho, Ndg. Ismail Jussa Ladu, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya chama hicho Vuga, Mkoa wa Mjini Magharibi. Ndg. Jussa amesema si busara kuteketeza nyaraka hizo wakati tayari kuna shauri lililofunguliwa mahakamani kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ikumbukwe kuwa tarehe 2 Februari, 2026 ZEC iliridhia zoezi la uteketezaji wa nyaraka za uchaguzi kwa mujibu wa kifungu cha 98(3) cha Sheria ya Uchaguzi namba 4 ya mwaka 2018, kinachoruhusu uharibifu wa nyaraka baada ya kupita siku 90 tangu kukamilika kwa uchaguzi. #ASAMOnlineTV #ACTWazalendo #ZEC #UchaguziZanzibar #HakiNaDemokrasia