У нас вы можете посмотреть бесплатно NAPE NNAUYE AKIWASHA ASEMA TUKIMUNG'UNYA MANENO CCM ITAONDOKA SUALA LA UTU LIWE WAZI TULIONE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesisitiza umuhimu wa kulinda na kuendeleza utu ndani ya Serikali, akisema ni wajibu wa wabunge kuhakikisha suala hilo linakuwa utamaduni katika utekelezaji wa sera na mipango ya Serikali. #samiasuluhuhassan #tanzania #raissamia #wazirimkuu #barazalamawaziri #mwigulunchemba #akson Akichangia hotuba ya Waziri wa Mipango bungeni leo, Februari 5, 2026, Nape amesema misingi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweka wazi utu wa binadamu kama nguzo muhimu, hivyo unapaswa kuonekana moja kwa moja katika mipango na vitendo vya serikali kwa makundi yote ya jamii. “Nape amesema: ‘Katika imani tatu za Chama cha Mapinduzi mojawapo ni utu wa binadamu, kwa hiyo haikuwa bahati mbaya na mimi nataka kukiomba chama changu kuanzia mwanzo hapa tunapoanza mipango ya utekelezaji wa dira hili suala la utu liwe wazi tulione moja kwa moja kwenye mipango ya Serikali tukienda kwenye Machinga tuone utu, tukienda kwa wakulima tuone utu, tukienda kwenye matendo ya vyombo vya dola tuone utu, tukimung'unya maneno CCM itaondoka jamani’.”