У нас вы можете посмотреть бесплатно KILIO CHA WANANCHI KUPASUKA KINGO BWAWA LAO LA LEPURKO SHULENI UFUMBUZI WAPATIKANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Mhe. Isack capriano amelitembelea bwawa la lepurko shuleni ambalo limepasuka tuta na kusababisha kupoteza maji mengi hasa kipindi hiki cha Mvua. baada ya kulitembea eneo hilo amekutana na wanachi wa Lepurko na kuitaja lepurko kuwa ni miongoni mwa kata tatu zenye changamoto ya maji katika wilaya ya Monduli huku akitoa maelezo juu ya hatua za awali zitakazo chukuliwa. Aidha amesema Licha ya juhudi za Serikali kupitia wizara ya maji ambayo iliahidi kufika monduli kuna haja ya Uongozi wa wilaya kutafta njia mbadala ya kuwasaidia wananchi wa eneo hilo kupata maji kwa haraka.. Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Raphael Siumbu amesema tayari epokea maelekezo kwa Mwenyekiti wa Halmashauri juu ya bwawa hilo na mpango mzima wa awali wa kuwasaidia wanachi kupata maji huku jitihada zingine zikiendelea ili kutatua kabisa changamoto hiyo. Yonas Masiaya Ni diwani wa kata ya Lepurko amesema licha ya jitihada hizo za awali kuna haja Serikali kuona namna ya kupata suluhu ya kudumu juu tatizo la maji katika kata ya Lepurko