У нас вы можете посмотреть бесплатно Kwa Nini Watu Wengi Hawajui Wanataka Nini? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu wengi wanaishi maisha yao bila uwazi wa wanachotaka. Wanabadilisha malengo kila siku, wanaiga wengine, au wanaishi kwa matarajio ya jamii badala ya msimamo wa ndani. Katika video hii tunachambua sababu za kisaikolojia zinazofanya watu wengi washindwe kujua wanachotaka, na nini cha kufanya ili kupata mwelekeo wa kweli. Tatizo la watu wengi si kukosa fursa ni kukosa mwelekeo. Ukijua unachotaka, maamuzi yanakuwa rahisi. Hakikisha una unabonyeza - Like, share & subscribe kwa mafunzo zaidi ya saikolojia ya maisha na mindset. Kisha, Comment ni nini kinakuchanganya zaidi kuhusu maisha yako sasa? #Maisha #Malengo #Kujitambua #Akili #Fikra #Maamuzi #Mwelekeo #Maendeleo #Kujijenga #Motisha #Hamasa #Mafanikio #ElimuYaMaisha #Mindset #SelfAwareness #Purpose #LifePurpose #PersonalDevelopment #GrowthMindset #Motivation #Psychology #LifeCoaching #SuccessMindset #MentalClarity #SelfDiscovery