У нас вы можете посмотреть бесплатно "UZALISHAJI WA GESI ASILIA KUFIKIA FUTI MILIONI 45 ZA UJAZO KWA SIKU"-DKT MATARAGIO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"UZALISHAJI WA GESI ASILIA KUFIKIA FUTI MILIONI 45 ZA UJAZO KWA SIKU"-DKT MATARAGIO Serikali imeridhishwa na utendaji kazi wa Shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania (TPDC) kwa kuendelea kufanya tafiti juu ya uwepo wa Gesi asilia katika vitalu vilivyopo mkoa wa Mtwara. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dkt James Mataragio wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani Mtwara ambapo pamoja na kutembelea maeneo ambayo yanafanyika utafiti pamoja na uchimbaji wa gesi asilia, ametoa maelekezo kwa Mkandarasi wa kampuni ya AGS kukamilisha kazi kwa wakati. Awali Dkt Mataragio alitembelea ofisi ya mkuu wa mkoa wa mtwara Kanal Patrick Sawala ambapo katika mazungumzo yao mkuu huyo wa mkoa amesema uwepo wa gesi asilia umepelekea kuleta wawekezaji huku akitolea mfano uwepo wa kiwanda cha Dangote. #Clouds Digital Updates.