У нас вы можете посмотреть бесплатно NYAMOGA ATEMA NYONGO, ASEMA: “YALIYOPITA NI NDWELE, TUGANGE YAJAYO” или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Iringa. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Justin Lazaro Nyamoga (CCM), amesema amekubali kwa moyo mkunjufu uamuzi wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumtoa katika kinyang’anyiro cha ubunge, akisisitiza kuwa sasa anajikita zaidi kwenye mustakabali wa mbele. Nyamoga alieleza kuwa pamoja na hatua hiyo, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na kuunga mkono juhudi zote za chama kwa manufaa ya wananchi wa Kilolo na taifa kwa ujumla. “Yaliyopita ni ndwele, tugange yajayo,” alisema Nyamoga kwa msisitizo. ________________________________________