• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

RC MALIMA AKAGUA RELI YA SGR MORO – KILOSA. скачать в хорошем качестве

RC MALIMA AKAGUA RELI YA SGR MORO – KILOSA. 1 год назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC MALIMA AKAGUA RELI YA SGR MORO – KILOSA.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: RC MALIMA AKAGUA RELI YA SGR MORO – KILOSA. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно RC MALIMA AKAGUA RELI YA SGR MORO – KILOSA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон RC MALIMA AKAGUA RELI YA SGR MORO – KILOSA. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



RC MALIMA AKAGUA RELI YA SGR MORO – KILOSA.

RC MALIMA AKAGUA RELI YA SGR MORO – KILOSA. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha kutoka Morogoro hadi Kilosa kwa lengo la kuangalia hatua ya ujenzi iliyofikiwa pamoja na usalama wa treni hiyo inayotarajia kuanza safari zake katikati ya mwezi Julai 25, mwaka huu. Mhe. Malima amefanya ziara hiyo Julai 4, 2024 akiambatana na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ikiwa ni maandalizi ya utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutaka treni hiyo kuanza safari zake kwa kipande cha Morogoro – Dodoma ifikapo Julai 25, Mwaka huu. Katika ziara hiyo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema ameridhishwa na utendaji kazi unaoendelea wa kukamilisha ujenzi wa miundo mbinu ambayo ilikuwa haijakamilika ikiwemo ujenzi wa uzio (Fence) kwa ajili ya kuzuia wanyama pori kama tembo pamoja na mifugo huku akiagiza kazi hiyo ikamilike ifikapo tarehe 15 - 18 Julai. “…sisi watu wa Morogoro tulipokea salamu, ya kwamba kuanzia tarehe 25 mwaka huu zitaanza safari za abiria kwenda Dodoma lakini kwa muda sasa, zaidi ya mwezi tuliweka angalizo kwa eneo hili…” amesema Mhe. Malima Akikagua kituo cha treni cha Kilosa Mkuu huyo wa Mkoa amesema Kituo hicho cha treni cha Kilosa ni cha kimkakati kwa kuwa kitasaidia kukuza sekta ya Utalii Mkoani humo kwani amesema wageni wengi watakaotumia usafiri wa SGR wataweza kushuka Kilosa na kisha kutembelea Vivutio vilivyopo Mkoani humo vikiwemo Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, Mbuga ya Wanyama ya Mikumi, Hifadhi ya Milima ya Udzungwa, na vivutio vingine vingi vilivyopo eneo hilo. Katika hatua nyingine Mhe. Adam Kighoma Malima amekemea vikali tabia ya baadhi ya wananchi wanaojihusisha na wizi wa miundombinu ya Reli hiyo zikiwemo Nyaya za shaba huku akiwaonya kuwa watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kisheria na mpaka sasa amesema tayari kuna baadhi ya watu wameshatiwa mbaroni wakihusishwa na wizi wa vifaa vya mradi huo. Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema Kituo cha treni cha mwendokasi cha Kilosa kitafungua milango ya kiuchumi hususan katika sekta ya Utalii, Kilimo na Mifugo ambapo kumewekwa mkakati wa kushawishi watalii kutoka ndani na nje ya nchi kuanza kutembelea Vivutio na uwekezaji uliomo ndani ya Kilosa kupitia Reli ya SGR. Hata hivyo, Mhe. Kabudi amebainisha kuwa Wilaya ya Kilosa ina utajiri wa kilimo cha mazao mbalimbali likiwemo zao la Vitunguu na mpunga hivyo kutokana na urahisi wa usafirishaji wa mazao hayo kutachochea uzalishaji wenye tija na kujenga Uchumi wa Wilaya, Mkoa na Taifa kwa jumla. Naye, Mkurugenzi wa Miundombinu wa Shirika la reli Tanzania Mhandisi Machibya Shiwa amesema zoezi la kuweka uzio limefikia 95% huku maeneo ya ushoroba wa Ngerengere na ushoroba uliopo katikati ya Kimambila na kimamba ni maeneo yanayojengwa uzio maalum wa kudhibiti wanyama wakiwemo tembo wanaotoka mbuga ya Mikumi. Mwisho

Comments
  • Naibu kinara wa ODM Godfrey Osotsi awakashifu Oburu Oginga, Junet Mohamed na Gladys Wanga 1 час назад
    Naibu kinara wa ODM Godfrey Osotsi awakashifu Oburu Oginga, Junet Mohamed na Gladys Wanga
    Опубликовано: 1 час назад
  • Ally Ngwando amchakaza Jamal Kunoga | VITASA | Mfalme Kwenye Ufalme Wake - 22/04/2023 2 года назад
    Ally Ngwando amchakaza Jamal Kunoga | VITASA | Mfalme Kwenye Ufalme Wake - 22/04/2023
    Опубликовано: 2 года назад
  • Shule za grade 10 zinapewa wanafunzi kulingana na masomo waliyoyachagua 8 часов назад
    Shule za grade 10 zinapewa wanafunzi kulingana na masomo waliyoyachagua
    Опубликовано: 8 часов назад
  • KIPANGA wa MZUMBE ALIYEONGOZA kwa GPA KUBWA CHUO KIZIMA - ASAHAU CHETI - RAIS AMUITA na KUMKABIDHI.. 1 год назад
    KIPANGA wa MZUMBE ALIYEONGOZA kwa GPA KUBWA CHUO KIZIMA - ASAHAU CHETI - RAIS AMUITA na KUMKABIDHI..
    Опубликовано: 1 год назад
  • Mradi wa Handeni, Korogwe, Muheza na Pangani umefikia asilimia 74 ya utekelezaji  wake. 9 дней назад
    Mradi wa Handeni, Korogwe, Muheza na Pangani umefikia asilimia 74 ya utekelezaji wake.
    Опубликовано: 9 дней назад
  • CHUO CHA RELI  TIRTEC NA UKUAJI WA SEKTA YA RELI NCHINI I MAANDALIZI YA MAHAFALI YA NNE-TABORA 1 год назад
    CHUO CHA RELI TIRTEC NA UKUAJI WA SEKTA YA RELI NCHINI I MAANDALIZI YA MAHAFALI YA NNE-TABORA
    Опубликовано: 1 год назад
  • DEREVA WA CHADEMA ALIYESABABISHA AJALI MOROGORO AKAMATWA, CHAZO NI UZEMBE 7 месяцев назад
    DEREVA WA CHADEMA ALIYESABABISHA AJALI MOROGORO AKAMATWA, CHAZO NI UZEMBE
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • BWAWA LA MKOMAZI KARIBUNI KUKAMILIKA. 3 недели назад
    BWAWA LA MKOMAZI KARIBUNI KUKAMILIKA.
    Опубликовано: 3 недели назад
  • RC Malima aiagiza TANROADS kuongeza alama za barabara Iyovi. 10 дней назад
    RC Malima aiagiza TANROADS kuongeza alama za barabara Iyovi.
    Опубликовано: 10 дней назад
  • WANANCHI WAIOMBA SERIKAKA KUHARAKISHA MCHAKATO WA UJENZI WA BARABARA YA MAKONGOROSI 4 дня назад
    WANANCHI WAIOMBA SERIKAKA KUHARAKISHA MCHAKATO WA UJENZI WA BARABARA YA MAKONGOROSI
    Опубликовано: 4 дня назад
  • MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAZAWA WANUFAIKE NA AJIRA ZILIZOPO. 10 дней назад
    MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAZAWA WANUFAIKE NA AJIRA ZILIZOPO.
    Опубликовано: 10 дней назад
  • Prezydent Nawrocki alarmuje: Unijna biurokracja dusi polski biznes! Dość nadregulacji! 6 часов назад
    Prezydent Nawrocki alarmuje: Unijna biurokracja dusi polski biznes! Dość nadregulacji!
    Опубликовано: 6 часов назад
  • RC KASKAZINI PEMBA AWAKARIBISHA WANANCHI WOTE KATIKA UFUNGUZI WA BARABARA YA CHAKE -  WETE 12 дней назад
    RC KASKAZINI PEMBA AWAKARIBISHA WANANCHI WOTE KATIKA UFUNGUZI WA BARABARA YA CHAKE - WETE
    Опубликовано: 12 дней назад
  • Rc Malima awatembelea majeruhi wa ajali, atoa wito kwa wananchi. 2 недели назад
    Rc Malima awatembelea majeruhi wa ajali, atoa wito kwa wananchi.
    Опубликовано: 2 недели назад
  • NIEMCY JUŻ WRÓCILI Z GRENLANDII. SZUKAMY EUROPEJSKICH ŻOŁNIERZY NA WYSPIE 6 часов назад
    NIEMCY JUŻ WRÓCILI Z GRENLANDII. SZUKAMY EUROPEJSKICH ŻOŁNIERZY NA WYSPIE
    Опубликовано: 6 часов назад
  • Serikali yaweka mkakati wa kudumu kukabiliana na mafuriko Morogoro. 2 недели назад
    Serikali yaweka mkakati wa kudumu kukabiliana na mafuriko Morogoro.
    Опубликовано: 2 недели назад
  • RC MALIMA AWATEMBELEA MAJERUHI AJALI MOROGORO, ALIA NA MADEREVA. 7 месяцев назад
    RC MALIMA AWATEMBELEA MAJERUHI AJALI MOROGORO, ALIA NA MADEREVA.
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Inside North Korea’s Sinpo-Class Program: The Naval Move That Made the U.S. Pause (Full Process) 1 час назад
    Inside North Korea’s Sinpo-Class Program: The Naval Move That Made the U.S. Pause (Full Process)
    Опубликовано: 1 час назад
  • NIDA: YARIDHIKA NA MAANDALIZI YA ZOEZI LA USAJILI VITAMBULISHO K/ BUYUNI 4 дня назад
    NIDA: YARIDHIKA NA MAANDALIZI YA ZOEZI LA USAJILI VITAMBULISHO K/ BUYUNI
    Опубликовано: 4 дня назад
  • MECZ - ABSURD! ODWOŁANE BRAMKI, SŁUPKI, POPRZECZKI I SZALONE PARADY! SOCIEDAD - BARCELONA, SKRÓT 19 часов назад
    MECZ - ABSURD! ODWOŁANE BRAMKI, SŁUPKI, POPRZECZKI I SZALONE PARADY! SOCIEDAD - BARCELONA, SKRÓT
    Опубликовано: 19 часов назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5