У нас вы можете посмотреть бесплатно MAGU KUJENGA STENDI YA MABASI NA SOKO JIPYA LA KISASA MBUNGE KISWAGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
@Jimbo la Magu-Mwanza. 16.04.2025 Mbunge wa Jimbo la Magu mkoani Mwanza Mhe: Boniventura Destery Kiswaga ameitaka Serikali kuanza hatua ya manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya Wilaya na Soko kuu la kisasa miradi inayotarajiwa kujengwa kata ya Magu mjini. Mbunge Kiswaga amesema hayo 16.04.2025 wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI). Mhe. Kiswaga ameikumbusha Serikali kuwa miradi hiyo ya Soko na Stendi ni muhimu sana kwa Wilaya ya Magu ambayo soko lake limechakaa na stendi ni mbovu isiyostahili kuendelea kuwa stendi ya Wilaya. Soko Na Stand inatarajiwa kugharimu kiasi cha 11 Bilioni, Kukamilika kwa miradi hiyo kutaongeza hadhi ya mji wa Magu na kuwezesha kuboresha mazingira ya biashara na uwekazaji kwa wafanyabiashara wa Magu. KAZI NA UTU = TUNASONGA MBELE TUNTUME HANGI -KISWAGA ATOSHIJE KAZI IENDELEE Imetolewa na. Ofisi ya Mbunge Jimbo la Magu. email: dbubeshi@gmail.com +255 769226985