• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi. скачать в хорошем качестве

Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi. 5 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Je Mjamzito ufanye nini ili uweze kupata Usingizi wa kutosha??? | Njia za kuepuka kukosa Usingizi.

Usingizi wa kutosha, Usingizi wa Mjamzito, Usingizi kwa mama mwenye Mimba, Usingizi wa Mimba ya Mjamzito, Usingizi katika kipindi cha Ujauzito, Usingizi wa Mjamzito katika kipindi cha Ujauzito, Usingizi katika kipindi cha Ujauzito na Dr.Mwanyika, Mambo ambayo unatakiwa kufanya Mama Mjamzito ili kuhakikisha unapata Usingizi wa kutosha (Sleep Hygiene) ni kama yafuatayo kulingana na (CDC); 1. Hakikisha Unalala au Kuamka kwa wakati unaofanana kila siku na usilale au kuamka bila mpangilio hata kama ni weekend.! 2. Hakikisha ndani ya chumba cha kulala kuna Utulivu, Giza na Joto ambalo haliwezi kuathiri Uwezekano wa kulala yani lisiwe baridi sana wala joto Kali sana! 3. Usiende Kulala na Vyombo vya Electronic vinavyo toa Mwamba wa Blue mfano; Simu, Computer na TVs!. 4. Hakikisha unakula chakula kiasi tu, usile chakula kingi wakati wa Usiku.! 5. Usinywe Pombe au Vinywaji vyenye vya Caffeine mfano; Soda za Coca cola au Pepsi!. 6. Hakikisha unakula chako cha usiku/jioni masaa 2 au 3 kabla ya kulala, usile na kwenda kulala muda huo huo. 7. Epuka kunywa Maji mengi, Vyakula vyenye maji maji au matunda mfano; Tikiti wakati wa Jioni au Usiku. 8. Hakikisha unafanya mazoezi kwa muda wa dakika 30 kila siku mfano wa mazoezi; Kutembea kwa miguu. 9. Epukana na Msongo wa mawazo au shida mfano ;Sonona wakati wa Ujauzito. 10. Mwone daktari anaweza kukuandikia Dawa za kuongeza usingizi lakini kwa Bahati mbaya kwako wewe Mjamzito huwa hazifai kwa sababu Dawa hizo huathiri Afya ya Mtoto aliyeko tumboni mwako pia. NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇    / drmwanyika   Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube). Subscribe,Comment and Share JapideAfya_Services Your Health is Our Health Instagram as @JapideAfya_Services Facebook page as @JapideAfya_Services ©Dr.Mwanyika. #MamaAfya #UsingiziWaKutosha #JapideAfya_Services

Comments
  • Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito) 2 года назад
    Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    Опубликовано: 2 года назад
  • MAUMIVU YA KICHWA KWA MAMA MJAMZITO | HEADACHE FOR PREGNANT MOTHERS 2 года назад
    MAUMIVU YA KICHWA KWA MAMA MJAMZITO | HEADACHE FOR PREGNANT MOTHERS
    Опубликовано: 2 года назад
  • Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi? 5 лет назад
    Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi?
    Опубликовано: 5 лет назад
  • ARUSHA;UGOMVI MKUBWA WAIBUKA MTU NA SHEMEJI YAKE WAKIGOMBANIA MALI ZA MAREHEMU/ 4 часа назад
    ARUSHA;UGOMVI MKUBWA WAIBUKA MTU NA SHEMEJI YAKE WAKIGOMBANIA MALI ZA MAREHEMU/"NATAKA HAKI YANGU"
    Опубликовано: 4 часа назад
  • Je Kwa Nini Mjamzito Hukosa Hamu Ya Kula Chakula?? (Kukosa Hamu Ya Kula Chakula NA Suluhisho Lake!). 3 года назад
    Je Kwa Nini Mjamzito Hukosa Hamu Ya Kula Chakula?? (Kukosa Hamu Ya Kula Chakula NA Suluhisho Lake!).
    Опубликовано: 3 года назад
  • Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi? 4 года назад
    Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    Опубликовано: 4 года назад
  • Mjamzito Punguza Mate Kujaa Mdomoni Kwa Kufanya Hivi!! (Njia 10 ZA Kuondoa Mate Ktk Ujauzito). 3 года назад
    Mjamzito Punguza Mate Kujaa Mdomoni Kwa Kufanya Hivi!! (Njia 10 ZA Kuondoa Mate Ktk Ujauzito).
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Nanasi Kwa Mjamzito Ina Madhara Gani? (Tahadhari 4 na Faida 9 za Nanasi kwa Mjamzito). 3 года назад
    Je Nanasi Kwa Mjamzito Ina Madhara Gani? (Tahadhari 4 na Faida 9 za Nanasi kwa Mjamzito).
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)! 3 года назад
    Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)!
    Опубликовано: 3 года назад
  • Mimba kuharibika kutokana na utofauti wa Damu ya Baba na Mama | Visababishi na Jinsi ya kuepuka!?? 5 лет назад
    Mimba kuharibika kutokana na utofauti wa Damu ya Baba na Mama | Visababishi na Jinsi ya kuepuka!??
    Опубликовано: 5 лет назад
  • NJIA BORA ZA KUPATA USINGIZI KWA HARAKA 4 года назад
    NJIA BORA ZA KUPATA USINGIZI KWA HARAKA
    Опубликовано: 4 года назад
  • Je Presha Ya Kushuka Kwa Mjamzito Sababu Ni Nini?(Dalili na Madhara Yake Yapi Na Jinsi ya Kuongeza)! 2 года назад
    Je Presha Ya Kushuka Kwa Mjamzito Sababu Ni Nini?(Dalili na Madhara Yake Yapi Na Jinsi ya Kuongeza)!
    Опубликовано: 2 года назад
  • Dr. Chris Mauki: Ili uweze kupata usingizi mzuri, zingatia mambo haya manne 4 года назад
    Dr. Chris Mauki: Ili uweze kupata usingizi mzuri, zingatia mambo haya manne
    Опубликовано: 4 года назад
  • Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8 2 года назад
    Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    Опубликовано: 2 года назад
  • Je Uzito Kupungua Kwa Mjamzito husababishwa na Nini? ( Madhara ya Uzito Mdogo kwa Ktk Ujauzito!). 3 года назад
    Je Uzito Kupungua Kwa Mjamzito husababishwa na Nini? ( Madhara ya Uzito Mdogo kwa Ktk Ujauzito!).
    Опубликовано: 3 года назад
  • Muda Sahihi Wa Mtoto Kuota MENO. Mtaalamu Ruth MUNGAI Afafanua. 2 года назад
    Muda Sahihi Wa Mtoto Kuota MENO. Mtaalamu Ruth MUNGAI Afafanua.
    Опубликовано: 2 года назад
  • Dalili za  Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba! 5 лет назад
    Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Je ni lini Mjamzito anatakiwa kulala kwa upande wa kushoto?? | Mjamzito haruhusiwi kulalia Mgongo?. 4 года назад
    Je ni lini Mjamzito anatakiwa kulala kwa upande wa kushoto?? | Mjamzito haruhusiwi kulalia Mgongo?.
    Опубликовано: 4 года назад
  • Je Kuharisha Kwa Mjamzito Husababishwa NA Nini??(Sababu 8 ZA Kuharisha Ktk Kipindi Cha Ujauzito)!. 3 года назад
    Je Kuharisha Kwa Mjamzito Husababishwa NA Nini??(Sababu 8 ZA Kuharisha Ktk Kipindi Cha Ujauzito)!.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Lini Mjamzito Anatakiwa Kutumia Dawa Za Minyoo? ( Madhara ya Minyoo kwa Mjamzito)! 3 года назад
    Je Lini Mjamzito Anatakiwa Kutumia Dawa Za Minyoo? ( Madhara ya Minyoo kwa Mjamzito)!
    Опубликовано: 3 года назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5