У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI YAONGEZA THAMANI MIFUGO NA UVUVI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk.Bashiru Ally Kakurwa na Naibu Waziri, Ng'wasi Kamani wamefanya ziara katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa, Pwani, Manyara na Lindi iliyolenga kuangalia mwelekeo wa Serikali katika siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi. Ziara hiyo ililenga kuona namna Rais Samia alivyotekeleza maono yake kwa vitendo katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi ndani ya siku 100 za uongozi wake hasa katika kupanua maeneo ya malisho na ufugaji wa kisasa, ujenzi wa bandari za uvuvi na viwanda vya kusindika samaki, kusimamia rasilimali za uvuvi, kuimarisha chanjo na utambuzi wa mifugo kwa soko la nje pamoja na kuwekeza katika miundombinu ya mifugo na kuongeza thamani ya bidhaa Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg