У нас вы можете посмотреть бесплатно NAMNA UNAVYOWEZA KUPOTEZA SIFA ZA KUINGIZWA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Agosti 02, 2019 imekutana na wadau wa uchaguzi mkoani Mwanza wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa, dini, asasi za kiraia, makundi ya watu wenye ulemavu, vijana, wanawake na wanahabari ili kupeana elimu kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikiwa ni maandalizi kuelekea chaguzi zijazo. jEH wazijua sababu zinazoweza kukuondosha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura? Nini lengo la kusanyiko hilo hapa jijini Mwanza? Huyu hapa Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mbarouk Salim Mbarouk akifunguka zaidi, ambapo pia Mkurugenzi wa Idara ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Martin Mnyanyelwa anashiriki kuzibainisha sifa zinazo mwondoa mtu kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.