У нас вы можете посмотреть бесплатно DED IRAFAY AHIMIZA WATUMISHI KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI KWA KUZINGATIA WELEDI NA KUJALI MUDA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DED IRAFAY AHIMIZA WATUMISHI KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI KWA KUZINGATIA WELEDI NA KUJALI MUDA Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, Teresia Irafay, ametoa wito kwa watumishi wa umma kuhakikisha wanatoa huduma bora, zenye heshima na kwa wakati kwa wananchi wote wanaofika kupata huduma katika ofisi za umma. Irafay ametoa kauli hiyo leo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja, hafla iliyofanyika katika makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, na kuhudhuriwa na watumishi pamoja na wananchi waliokuwa wakipata huduma mbalimbali. Amesema wiki ya huduma kwa wateja ni fursa muhimu kwa watumishi kutathmini namna wanavyowahudumia wananchi na kuboresha maeneo yenye changamoto, akisisitiza kuwa utoaji wa huduma bora ni kipimo cha uwajibikaji wa taasisi yoyote ya umma.