У нас вы можете посмотреть бесплатно FUATILIENI MAENDELEO YA VIKUNDI - DED IRAFAY WAKATI AKIWAKABIDHI CDOs VIFAA VYA KAZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
FUATILIENI MAENDELEO YA VIKUNDI - DED IRAFAY WAKATI AKIWAKABIDHI CDOs VIFAA VYA KAZI Maafisa Maendeleo Kata wilaya ya Hanang’ wamekabidhiwa vitendea kazi ikiwemo kompyuta mpakato, pikipiki na vipaza sauti, ili kuongeza ufanisi wa kazi na kuwawezesha kuhamasisha wananchi kuhusu fursa mbalimbali zikiwemo mikopo isiyo na riba ya asilimia 10. Akikabidhi vifaa hivyo, wakati wa kufunga mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo maafisa maendeleo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, Teresia Irafay, amesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa halmashauri kuboresha mazingira ya kazi kwa watendaji katika kata zote. Vifaa vilivyokabidhiwa ni kompyuta mpakato 21, pikipiki 3 na vipaza sauti 3, ambapo Irafay alisisitiza umuhimu wa kuvihifadhi na kuvitumia kwa malengo yaliyokusudiwa. Aidha, Irafay ameleza kuwa vifaa hivyo vimetokana na fedha za asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri, na kuongeza kuwa baada ya kuhakikisha kila Afisa maendeleo wa Kata ana kompyuta mpakato, mkakati unaofuata ni kuwapatia usafiri na vipaza sauti ili kurahisisha utendaji wao.