У нас вы можете посмотреть бесплатно KONGA NA USWAZI | HAMNA MCHEZO RAHISI🤣🤣🙌 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KONGA NA USWAZI Hiki ni kipindi ambacho kimeandaliwa na Team Muungwana One tv ( Management), kwa lengo la kujenga uhusiano na umoja bora kwa kwa rika zote (Vijana, wazee, akina Mama, na watoto kwenye jamiii bila kuchangua dini Wala kabila la mtu). Pia ni kipindi ambacho kimeandaliwa na kutoa fursa kwa Kila mmoja kuchangia mawazo na mtazamo wake chanya kwa ajili ya Maendeleo ya Kila mmoja , au kundi kwenye jamii yetu iliyotuzunguka. Konga na uswazi, kipindi hichi ni tiba ya afya ya akili kwasababu ni Kipindi ambacho tunapata fursa ya kuburudika, watu hufurahi Sanaa wakati wa mchezo, hvyo akili huchangamka na hupunguza msongo wa mawazo ambayo ni hasi kwenye jamii yetu. Konga na Uswazi, ni kipindi kipya ambacho tunaamini vijana wengi wamekipokea na wataendelea kukipokea kuanzia ngazi ya Kijiji hadi Taifa, kwasababu kinaelimisha, na kuburudisha. Fans tuendelee kusupport kipindi chetu konga na Uswazi na channel yetu MUUNGWANA ONE TV 🙏 THANKS