У нас вы можете посмотреть бесплатно MWENYE CHOCHOTE | MWENYE KUGUSWA, MTOTO ANAHITAJI MSAADA (NORAISHI) | NA MUNGU AKUFANYIE WEPESI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MTOTO NORAISHI ANAHITAJI MSAADA. Katika Kata ya Temeke Kijiji Cha Nangose One Wilaya ya Masasi, Kuna Mtoto ajulikanaye kwa jina NORAISHI (5). NORAISHI ni mtoto ambaye anaumwa, na umwa yake yapata takriban miaka minne tangu amezaliwa. Kwa mujibu wa Taarifa za Mzazi wake mmoja wa kiume anadai mototo wakati anazaliwa alichelewa kulia, kwahyo ni mtoto ambaye ana mtindio wa ubongo kitalaamu. Lakini ishu kubwa, japo na changamoto hiyo, Mama yake Mzazi ameaga Dunia (amefariki) juzi na ndiye alikuwa anamkumbatia mtoto wake, kwasababu baba wa mtoto hakai na mtoto ana mwanamke mwingine pembeni kwa huduma haziwezi kukamilika kwa alisimia 100% kwa Mtoto. Hivyo baada tu ya kifo Cha Mama wa mtoto juzi, ambaye amefariki kwa tatizo la kansa, Mtoto atakuwa chini ya bibi yake mtoto mzaa mama. Tukiwa tunaendelea na Habari familia waliona haja ya kuita chombo " Muungwana One tv" kwa ajili ya kuweka wazi (Public ), suala la mtoto kuomba Msaada wa kuwasaidia chochote kitu ulichonacho kimfikie mtoto kama Msaada kwake. Na tunaendelea kuomba Kama chombo kama familia kwa watanzania wote nchini tuendelee kumsadia kijana wetu kwani msaada unatakiwa Sanaa. 0715651908 |Taarifa zaidi na mawasiliano familia ya mtoto wameweka kwa hii Video, na Sisi tutaendelea kuwa bega kwa bega na mtanzania au watanzania wote utaoguswa na hali hii ya mtoto. Update Muungwana One tv