У нас вы можете посмотреть бесплатно Hisa, Mitaji na Njia za Kuongeza Pesa – Podcast Yetu! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye podcast yetu! Katika episode hii, nimekaa na rafiki yangu tukijadiliana kuhusu hisa, mitaji, na njia za kuongeza pesa. Tunaelezea kwa urahisi jinsi ya kuanza uwekezaji, mbinu za kufuata soko, na jinsi ya kufanya maamuzi sahihi ya kifedha. Ikiwa ungependa kujifunza kuhusu hisa na uwekezaji kwa lugha rahisi, hii video ni kwa ajili yako! 💡 Kumbuka: Kila mtu anaweza kuanza na hatua ndogo, na elimu ya kifedha ni ufunguo wa kujenga mali. 📌 Usisahau: Like 👍 Comment 💬 Subscribe 🔔 kwa mafunzo zaidi ya kifedha na uwekezaji #Hisa #Uwekezaji #Mitaji #KuongezaPesa #Podcast #FinancialEducation #Tanzania #CRDB #StockMarket